Parcourir les catégories
Explorer
Fiverr Pro
Français
$
USD
Tanzanian Swahili Copywriter for Jumia and Instagram Shops
Compétences
Voir mes services

Content writer
Self employed / Freelance • Indépendant
Feb 2024 - Present • 2 yrs 8 mos
Ninatoa huduma za kuandika maelezo ya bidhaa kwa Kiswahili sanifu kwa ajili ya biashara za Instagram, Jumia na WhatsApp. Nina uwezo wa kuandika caption za matangazo, kurekebisha maandishi na kutoa kazi kwa haraka ndani ya masaa 24. Nimefanya kazi na wateja wadogo mtandaoni kwa zaidi ya mwaka 1.